Nilini ubaguzi utaisha....angalia yo maisha, kila tym wao hututisha...
Tunaamka Saa Tisa, tukienda waks tukidhani ubaguzi utaisha....
Ceo alisema hatakimya...
Mi najoin the movement nikisema sitanyamaza... juu si Ndo Unchained voices tutaongea juu wanatutupa ka takataka mpaka Hatujui mpaka kati yao na sisi..wao Ni Mafisi, maibilisi wasiojali tunayoyahisi, nani atakua fundi nani atakua mhandisi,maana Mi ndo kasisi. Napreach 2nayo yahisi
Hii ndo hali halisi mtimani nayohisi
Huu ni mpaka kati ya panya na paka...
Mapaka shume wanatupaka paka maongo kwa uso wakidhani wataziba hii kiraka.....haraka haraka Haina baraka lakini Niko na haraka ya kutaka change juu hiyo ndo the only baraka.... Barack Obama alikua baraka lakini sioni hio baraka juuu wanatudharau si wanyonge.... wacha tubonge ukweli, the Common reality Ni kua hii reality ya racism haitaisha...
Itaisha skuile white cars hazitatumia black tires
Itaisha ile siku watu wakiacha kuosha nguo za white first na black mwisho
Itaisha skuile watu wataacha kuvaa white kwa wedding na black kwa funeral
Itaisha skuile black itastop kua symbol ya failure na horror na white kua symbol ya peace
Itaisha skuile nitawin pool table kila white ball kwa table
Itaisha skuile tukiacha kuitwa black na hao white
Itaisha skuile tutajua the only race ni nationalism
Skuile racism itaisha
No comments:
Post a Comment